Habari
20 Mar, 2025
MHE. MWINJUMA ATOA NENO KWA TAIFA STARS KUELEKEA MCHEZO DHIDI YA MOROC...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, amewakabidhi bendera ya Taifa timu ya Taifa Stars kabla ya mchezo wao muhimu wa kuwania kufuzu kombe la Dunia 2026 dhidi ya...
20 Mar, 2025
MHE. MWINJUMA ATOA NENO KWA TAIFA STARS KUELEKEA MCHEZO DHIDI YA MOROC...
MHE. MWINJUMA ATOA NENO KWA TAIFA STARS KUELEKEA MCHEZO DHIDI YA MOROC...
19 Mar, 2025
MSITHA ASKED TWALIPO TO CONTINUE COOPERATION
Katibu Mtendaji wa BMT Bi. Neema Msitha leo Machi 19, 2025 ameiomba Shule ya mafunzo ya michezo na utimamu wa mwili kupitia kwa Mkuu wake Kanali John Thomas Nyanchoha pamoja na wakufunzi wa Michezo ku...
19 Mar, 2025
MSITHA ASKED TWALIPO TO CONTINUE COOPERATION
MSITHA ASKED TWALIPO TO CONTINUE COOPERATION
12 Mar, 2025
KAMATI YA BUNGE YAKAGUA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA NA UHURU
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Husna Sekiboko imekagua mradi wa ujenzi wa eneo Changamani la Michezo Dar es salaam (Benjamini Mkapa na Uhu...
12 Mar, 2025
KAMATI YA BUNGE YAKAGUA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA NA UHURU
KAMATI YA BUNGE YAKAGUA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA NA UHURU
10 Mar, 2025
TACA WASAJILI WACHEZAJI WAPYA
UONGOZI wa Chama Cha Chess Tanzania (TACA) umefanikiwa kuwasajili wachezaji wapya ambao watatambuliwa na Chama Cha Chess Dunia.
Hayo yamejiri mara baada ya kumalizika kwa mashindano yaliyopewa jina...
10 Mar, 2025
TACA WASAJILI WACHEZAJI WAPYA
TACA WASAJILI WACHEZAJI WAPYA
08 Mar, 2025
BMT YAMWAGA ZAWADI KWA WASHIRIKI WA SAMIA TANZANITE SUPER CUP
Yanga Princess imejinyakulia Kombe, fedha taslim shilingi Milioni 3 na medali za dhahabu kwa udhamini wa Baraza la Michezo la Taifa kupitia Tamasha la Tanzanite Women's Festival, huku mshindi wa p...
08 Mar, 2025
BMT YAMWAGA ZAWADI KWA WASHIRIKI WA SAMIA TANZANITE SUPER CUP
BMT YAMWAGA ZAWADI KWA WASHIRIKI WA SAMIA TANZANITE SUPER CUP
07 Mar, 2025
SERIKALI KURUDISHA VIWANJA VYA MICHEZO VILIVYOVAMIWA
Serikali imepanga kuanza zoezi la kurudisha viwanja vya michezo ambavyo vilivamiwa ili kutoa nafasi kwa michezo kuendelea.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Baraza la Taifa la Michezo (BMT), Bi. Nee...
07 Mar, 2025
SERIKALI KURUDISHA VIWANJA VYA MICHEZO VILIVYOVAMIWA
SERIKALI KURUDISHA VIWANJA VYA MICHEZO VILIVYOVAMIWA