Tozo mbalimbali

ADA ZA USAJILI NA ADA ZA MWAKA

Mabadiliko haya ya Ada za Usajili na Ada za Mwaka ni kwa mujibu wa Kanuni ya 25 (5) ya Kanuni za Usajili wa Vyama vya Michezo 2020.

Na.

AINA YA CHAMA

ADA YA USAJILI Mara moja wakati wa usajli tu

ADA YA MWAKA

1.

Vyama vya Michezo vya Kitaifa vyenye wanachama wa Mikoa

200,000

150,000

2.

Vyama vya Michezo vya Kitaifa Vingine

200,000

100,000

3.

Vyama vya Michezo vya Mikoa

100,000

50,000

4.

Vyama vya Michezo vya Wilaya

100,000

50,000

5.

Vyama vya Michezo ambavyo ni Taasisi (Taasisi za Michezo)

100,000

100,000

6.

Vilabu vinavyoshiriki mashindano ya Vyama vya Kitaifa

100,000

100,000

7.

Vilabu vinavyoshiriki mashindano ya Vyama vya Mikoa na Wilaya

100,000

50,000

8.

Wakuzaji na Wakala wa Michezo 

200,000

100,000

9.

Shule za Michezo (Sports academies)

100,000

100,000

10.

Vituo vya Michezo (Sports Centre)

100,000

100,000

11.

Vituo vya mazoezi ya Viungo (GYM & Fitness Centres) vya Kisasa

100,000

150,000

12.

Vituo vya Mazoezi ya Viungo (GYM & Fitness Centres) vya kawaida

100,000

100,000

 

 

TOZO NYINGINEZO ZINAZOHUSIANA NA USAJILI 

Na. 

AINA YA MAOMBI

KIWANGO

1

Maombi ya kusoma rejist (perusal fee)

50,000

2

Maombi ya kupatiwa hati iliyothibitishwa na Msajili au kuidhinishwa hati inayoletwa na mdau

50,000

3

Maombi ya Kivuli cha cheti au hati nyingine iliyo katika hifadhi ya Baraza

50,000

4

Kuwasilisha marekebisho ya Katiba kwa Msajili

50,000

5

Kuwasilisha mabadiliko ya Viongozi wa Klabu, Chama au Shirikisho cha Michezo pale ambapo viongozi wamebadilika kwa sababu nyingine bila kubadili umiliki

10,000

6

Kuwasilisha mabadiliko ya umiliki wa klabu cha michezo pale ambapo klabu kimeuzwa kwa mtu au taasisi nyingine

2% ya mapato ghafi la mauziano

7

Maombi mengineyo

50,000