MAFUNZO TPC

03 May, 2023
Wataalam wa michezo ya watu wenye wakiwemo walimu na waamuzi wameingia katika siku ya pili katika mafunzo ya namna bora ya uendeshaji wa michezo ya kundi hilo, yaliyoratibiwa na Kamati ya Paralimpiki Tanzania (TPC) na kufanyika katika ukumbi na Uwanja wa Benjamin Jijini Dar es salaam.