MAGWIJI WA CAF NA FIFA WACHEZA MECHI MAALUM .

11 Aug, 2022
Picha za matukio mbalimbali ya kwenye mchezo maalumu kati ya Magwiji wa zamani wa soka na viongozi mbalimbali wa mpira wa miguu uliochezwa uwanja wa Shule ya St.Costantine jijini Arusha.