WACHEZAJI TIMU YA TAIFA YA GOFU WANAWAKE
service image
18 Sep, 2023

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Gofu Wanawake, watakaowakilisha nchi katika mashindano ya Gofu Afrika Mashariki na Kati.

Kuanzia kushoto ni Hawa Wanyeche, Madina Iddi, Vicky Elias pamoja na Neema Olomi.