UCHAGUZI SHIMIVUTA

26 Oct, 2023
Matokeo ya usaili wa wagombea wa nafasi za uongozi wa Shirikisho la Michezo Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania uliofanyika Oktoba 26, 2023 ukumbi wa Sekondari ya Galanos Jijini Tanga.