Habari

04 Jan, 2026
TAIFA STARS YAAGA RASMI AFCON BAADA YA KUPOTEZA DHIDI YA MOROCCO
Safari ya Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania, Taifa Stars, katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) imefikia tamati baada ya kupoteza kwa bao 1–0 dhidi ya wenyeji Morocco...
04 Jan, 2026
TAIFA STARS YAAGA RASMI AFCON BAADA YA KUPOTEZA DHIDI YA MOROCCO
03 Jan, 2026
STARS YAJIANDAA DHIDI YA MOROCCO
Wachezaji wa Timu ya Taifa (Taifa stars) wakiendelea na maandalizi ya mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Morocco utakaochezwa kesho fainali za TotalEnergies AFCON 2025
03 Jan, 2026
STARS YAJIANDAA DHIDI YA MOROCCO
03 Jan, 2026
TAIFA STARS YAPATIWA KITITA CHA MILIONI 500 BAADA YA KUFUZU KUTINGA 16...
Serikali kupitia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameizawadia timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) shilingi milioni 500 kufuatia kufanikiwa kufuzu hatua ya 16...
03 Jan, 2026
TAIFA STARS YAPATIWA KITITA CHA MILIONI 500 BAADA YA KUFUZU KUTINGA 16...
30 Dec, 2025
TANZANIA YAWEKA HISTORIA, YAFUZU HATUA YA 16 BORA AFCON KWA MARA YA KW...
Tanzania imeandika historia mpya katika soka la Afrika baada ya Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) kufuzu hatua ya 16 bora ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanz...
30 Dec, 2025
TANZANIA YAWEKA HISTORIA, YAFUZU HATUA YA 16 BORA AFCON KWA MARA YA KW...
02 Jan, 2026
Naibu Waziri Mhe. Paul Makonda alipotembelea kikosi cha timu ya Taifa...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda alipotembelea kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) kinachoendelea na maandalizi ya mchezo wa kesho Januari 4, 2026 dhidi ya timu...
02 Jan, 2026
Naibu Waziri Mhe. Paul Makonda alipotembelea kikosi cha timu ya Taifa...
30 Dec, 2025
AFCON 2027, MORROCCO
Kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) ikijiandaa na mchezo dhidi ya timu ya taifa ya Tunisia.
30 Dec, 2025
AFCON 2027, MORROCCO