BALOZI KALUA AWAPA BARAKA WAOGELAJI WA TANZANIA ISRAEL
service image
07 Sep, 2023

Balozi wa Tanzania nchini Israel Mhe. Alex Gabriel Kalua Septemba 06, 2023, amewatembelea na kuwapa baraka waogeleaji wa Tanzania katika Chuo cha Wingate ambao wako huku wakiendelea na mashindano ya dunia yaliyoanza tarehe 04 na yatahitimishwa 14 Septemba, 2023 nchini humu.