BMT YAKABIDHI MIPIRA MITANO KWA OFISI YA RAS KIGOMA

06 Dec, 2023
Kuelekea mashindano ya Ujirani mwema kati ya Tanzania na Burundi ambayo yatafanyika mkoani Kigoma,Baraza la michezo la taifa (BMT) Hii leo 1 desemba, 2023 Kupitia kwa Afisa michezo Abel Odena limekabidhi Mipira Mitano kwa Ofisi ya RAS Kigoma ,ambayo imepokelewa na ndugu Maksoud Yasini