BMT YAWASILISHA TAARIFA KWA KAMATI YA BUNGE

15 Apr, 2023
Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Neema Msitha akiwasilisha Taarifa ya BMT kwa Kamati ya Bunge ya Elimu, Utamaduni, Sanaa na Michezo, iliyofanya ziara leo tarehe 15 Aprili, 2023 katika uwanja wa Benjamin Mkapa pamoja na kituo cha michezo cha TFF Kigamboni.