BONDIA KASSIM MBUNDWIKE AMEFUZU HATUA YA ROBO FAINALI KATIKA MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA

03 Aug, 2022
Bondia Kassim Mbundwike amemshinda mpinzani wake bondia Pafio wa Cyprus na kufuzu kuingia robo fainali ya mapambano ya ngumi za ridhaa katika mashindano ya Jumuiya ya Madola yanayoendelea jijini Birmingham nchini Uingereza
Kwa matokeo hayo Tanzania sasa ina mabondia wawili walioingia katika hatua ya robo fainali