BONDIA WA TANZANIA YUSUF CHANGALAWE ATUNUKIWA MEDALI YA SHABA.
service image
07 Aug, 2022

Bondia wa Tanzania Yusuf Changalawe katika picha ya pamoja na mabondia wengine walioshiriki katika mashindano ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham nchini Uingereza, hii ni baada ya kutunukiwa medali ya Shaba kwa kutinga katika hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo katika mchezo wa ngumi za ridhaa.