COLLINS SALIBOKO AMEANZA VIZURI MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA

29 Jul, 2022
Mtanzania Collins Saliboko ameanza vizuri mashindano ya Jumuiya ya Madola baada ya kumaliza nafasi ya kwanza katika mchujo wa mchezo wa kuogelea mtindo wa "BUTTERFLY" kwa kutumia muda wa Sekunde 25.52 katika bwawa la Mita 50.