HONGERA SANA SIMBA QUEENS

06 Nov, 2022
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) linaipongeza klabu ya wekundu wa msimbazi Simba Queens kwa kuingia hatua ya nusu fainali mashindano ya Klabu Bingwa wanawake Barani Afrika baada ya kuifunga klabu ya Green Buffaloes kutoka nchini Zambia kwa magoli
2-0