TUZO YA HESHIMA
service image
27 Oct, 2023

Makamu wa Rais wa Baraza la Ngumi Duniani WBC, Houcine Houichi akimvisha medali ya tuzo ya heshima katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Bi. Neema Msitha wakati zoezi kupima uzito kwa mabondia kuwania mkanda wa Ubingwa wa WBC Afrika watakaopigania Mtanzania, Fadhili Majiha na Bongani Mahlangu wa Afrika Kusini katika pambano litakalopigwa kesho Jumamosi kwenye Ukumbi wa PTA Sabasaba, Dar.

Zoezi hilo limefanyika mchana wa leo Oktoba 27, 2023 kwenye Viwanja wa Las Vegas, Mabibo Sokoni.