KAMATI YAKABIDHI RIPOTI KWA KATIBU MKUU WA WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

17 Apr, 2023
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu leo Aprili 17, 2023 amepokea taarifa ya Kamati aliyoiunda hivi karibuni ili kufanya tathmini ya maboresho na uendeshaji wa Uwanja wa Benjamin wa Jijini Dar es salaam.