KATIBU MTENDAJI WA BMT ATEMBELEA BANDA LA WIZARA SABASABA

11 Jul, 2023
Katibu Mtendaji wa BMT Bi. Neema Msitha akiongea jambo na viongozi wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Julai 11, 2023 alipofanya ziara katika banda la Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo viwanja vya sabasaba jijini Dar es salaam.