KUFUNGIWA KWA TAASISI YA GOLDENBOY BOXING PROMOTION.
service image
12 Jun, 2024

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) yaifungia taasisi ya ukuzaji wa mchezo wa ngumi za kulipwa 'Goldenboy Boxing Promotion' kwa miaka miwili kutojihusisha na mchezo wowote nchini.