MAANDALIZI YA UCHAGUZI UMSOTA 2024.
service image
11 Jun, 2024

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imekaa kikao na umoja wa wachezaji wa mpira wa miguu wa zamani (UMSOTA) kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wao mkuu utaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2024.