MAFUNZO YA UFUNDI YA WALIMU NA WAAMUZI WA MICHEZO YA WATU WENYE ULEMAVU

02 May, 2023
Mafunzo ya Ufundi ya walimu na waamuzi wa michezo ya watu wenye ulemavu yaliyoaratibiwa na Kamati ya Paralimpiki Tanzania (TPC) yanafanyika kwa siku mbili (2) Mei 2 hadi 3, 2023 katika ukumbi wa Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es salaam.