MEDALI YA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

11 Apr, 2023
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akionesha Medali aliyokabidhiwa kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Timu ya Fountain Gate Mabingwa wa Soka Afrika kwa Shule za Sekondari ambao ndio walioiwakilisha Tanzania.
Tukio hilo limefanyika leo Aprili 11, 2023 Dar es Salaam.