MHESHIMIWA CHANA AWAPOKEA MABINGWA WA CAF 2023 KWA SHULE ZA SEKONDARI WASICHANA

11 Apr, 2023
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akipokea Kombe la mabingwa wa Afrika kwa Shule za Sekondari kutoka kwa Nahodha wa Timu ya Fountain Gate Beatrice Charles ambao ndio wawakilishi wa Tanzania katika mashindano hayo yaliyomalizika hivi karibuni nchini Afrika Kusini.
Tukio hilo limefanyika leo Aprili 11, 2023 jijini Dar es Salaam.