PARALYMPIC GAMES 2023

05 Sep, 2023
Timu ya Tanzania ya Wheelchair tennis iliyowakilishwa na wachezaji wanne wanawake na wanaume katika Mashindano Afrika ya Paralympic wanaendelea na mazoezi katika uwanja wa Accra kujifua kwa ajili ya michuano kuanzia tarehe 6 mpaka 11 Septemba, 2023 nchini Ghana.
Wawakilishi 6 wakiwemo wachezaji na Viongozi wawili wameshiriki katika mashindano hayo kwa ufadhili wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT).