PONGEZI.
service image
11 Jun, 2024

Hongera timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) kwa kuibuka na ushindi wa goli 1- 0 dhidi ya timu ya taifa Zambia (Chipolopolo) katika mchezo wa kundi "E" Kuwania kufuzu kombe la Dunia uliochezwa Juni 11, 2024 katika uwanja wa wa Levy Mwanawasa Ndola Nchini humo.