RAIS WA CAF PATRICE MOTSEPE AMEWASILI LEO JIJINI ARUSHA .
service image
08 Aug, 2022

 Tanzania leo tarehe 8 Agosti, 2022 saa 12:00 asubuhi na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa TFF Wallace Karia akiwa ameambatana na viongozi wengine wa Serikali pamoja na CAF, zikiwa zimebaki siku mbili tu kufanyika Mkutano Mkuu wa CAF wa 44 ambao unafanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania.