RAIS WA FIFA GIANNI INFANTINO AWASILI TANZANIA.

10 Aug, 2022
Picha za matukio mbalimbali wakati Rais wa FIFA Gianni Infantino alipowasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa 44 wa CAF utakaofanyika tarehe 10 Agosti, 2022 katika ukumbi wa AICC jijini Arusha.