SHIMIVUTA ELECTION PROCESSES HEATING UP IN TANGA CITY

26 Oct, 2023
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) linaendelea kuhakikisha Utawala bora katika vyama vya michezo unaimarishwa kwa vyama kufanya chaguzi kwa mujibu wa Katiba zao.
Tarehe 26 Oktoba, 2023 usaili wa wagombea wa nafasi za uongozi wa Shirikisho la Michezo la Elimu ya Vyuo Vikuu Tanzania umeendelea kushika kasi kuelekea katika uchaguzi wa viongozi hao Oktoba 27, 2023 Jijini Tanga.