UCHAGUZI SHIMIVUTA
service image
26 Oct, 2023

Usaili wa wagombea wa nafasi za Uongozi wa Shirikisho la Michezo la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (SHIMIVUTA) unaendelea leo Oktoba 26, 2023 Jijini Tanga, ambapo uchaguzi wa Shirikisho la hilo unatarajiwa kufanyika Oktoba 27, 2023 Jijini humo.