SIMBA QUEENS MABINGWA NGAO YA JAMII

12 Dec, 2023
Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Neema Msitha akikabidhi Ngao ya Jamii kwa washindi wa mchezo wa fainali Simba Queens baada ya kuwafunga kwa mikwaju ya penati 5-4 JKT Queens, mchezo uliochezwa uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar es Salaam.