TANZANIA VS MOROCCO
service image
09 Feb, 2023

Lucy Shirima moja ya wachezaji wawili walioiwakilisha Tanzania katika mashindano ya kufuzu kombe la Dunia la mchezo wa wheelchair tennis leo atashuka dimbani dhidi ya mchezaji wa Morroco saa 12:00 PM kwa saa Afrika Mashariki katika mashindano hayo yanayoendelea Abuja nchini Nigeria .

Tanzania iko kundi B na imewakilishwa na wachezaji wawili; Rehema Sulemani, Lucy Shirima na kocha Riziki Salumu, Watanzania tuwaunge mkono wachezaji wetu kwa dua Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki wheelchair tennis.