MAFUNZO YA MFUMO WA USAJILI KWA VYAMA VYA MICHEZO

28 Aug, 2023
Maafisa Utamaduni na Maafisa Michezo wakipokea Mada mbalimbali katika Kikao Kazi kinachoendelea leo Agosti 28, 2023 Mkoani Njombe.
Miongoni mwa Mada walizopokea ni Mafunzo ya Mfumo wa Usajili wa Vyama vya Michezo Kidigitali (SARS).