TUZO ZA BMT 2023

09 Jun, 2024
Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea Tuzo ya heshima kutoka kwa Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Damas Ndumbaro yenye lengo la kutambua mchango wake katika sekta ya michezo Juni 09 2024 wakati wa Tuzo za michezo zinazoratibiwa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT