USAILI WA VIONGOZI WA TASWA
service image
04 Feb, 2023

Usaili wa wagombea uongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ukiwa unaendelea katika moja ya kumbi za uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ambapo uchaguzi utafanyika kesho tarehe 5 Februari, 2023 kuanzia saa 3 asubuhi hapo hapo uwanja Benjamin Mkapa.