VIONGOZI WA SERIKALI WAHUDHURIA MKUTANO MKUU WA MAAFISA WAKUU WA MICHEZO YA NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA
service image
27 Jul, 2022

Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Neema Msitha pamoja na Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza mara baada ya kuhudhuria Mkutano wa Maafisa Wakuu (Senior Officials) wa michezo ya nchi za Jumuiya ya Madola.