KIKAO KAZI

20 Jan, 2024
Menejementi ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) wakiwa makini kuweka sawa bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 kwa lengo la kulijengea uwezo Baraza katika kusimamia michezo nchini, kikao kilichofanyika Januari 18 hadi 20, 2024 Wilayani Bagamoyo.