KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTAMADUNI NA MICHEZO

28 Aug, 2023
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw Saidi Yakubu amewasili katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji Njombe tayari kwa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Maafisa Utamaduni na Michezo 2023 Mkoani Njombe.